Aika na Nahreel waanika ugomvi wao mkubwa
Moja ya Couple maarufu katika tasnia ya Bongo Fleva, Aika na Nahreel wanaounda kundi la Navy Kenzo, wameshare na mashabiki wao ugomvi wao mkubwa kwa mwaka 2015, chanzo kikiwa ni kurekodi vesi katika ngoma yao ya Game.