Albam ya Juma Nature ilizaa TMK
Nyota wa muziki Chegge ameeleza kuwa, kundi la muziki lililotikisa chati za muziki katika kipindi cha nyuma kwa upande wa Bongo Fleva, TMK Wanaume Family, lilianzia kupitia wazo ambalo wasanii hao walilipata wakiwa katika ziara nje ya nchi.

