Serikali kufungua ubalozi wa Israel nchini
Rais Magufuli amemhakikishia Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuwa serikali yake ya awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo tayari kushirikiana na kuimarisha zaidi mahusiano kati ya Tanzania na Israel
