Yaya Toure kutimka Manchester City Kiungo wa Manchester City Yaya Toure anatafakari kuihama Klabu hiyo mwishoni mwa Msimu huu kwa mujibu wa Wakala wake, Dimitri Seluk. Read more about Yaya Toure kutimka Manchester City