Mbunge wa Geita ataka bangi, mirungi vihalalishwe

Mbunge wa jimbo la Geita Vijijini Joseph Msukuma Kasheku (CCM) ameiomba serikali kufanya utafiti wa kina kati ya madawa ya kulevya ya mirungi,bhangi na pombe za makaratasi maarufu kama viroba nini kina madhara zaidi kwa vijana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS