Simba,Azam zatamba ligi ku ya soka Tanzania bara

Ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea hii leo kwa mitanange mitano kupigwa katika viwanja tofauti ambapo katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam wekundu wa msimbazi Simba hii leo wameandika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya maafande wa JKT Ruvu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS