Kriketi Wanawake kuanza maandalizi Februari mosi
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Kriketi inatarajiwa kuingia kambini februari mosi mwaka huu kwa ajili ya kujiandaa na kufuzu fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Afrika Kusini mwezi April mwaka huu.

