Gulamali aanza kazi kwa kishindo jimboni Manonga
Mbunge wa jimbo la Manonga wilayani Igunga mkoani Tabora Bw. Seif Khamis Gulamali (CCM) ameanza kazi za kuwatumikia wananchi wake kwa kushiriki ujenzi wa wa vyoo pamoja na kuziba mabwawa yaliyoharibiwa vibaya na mvua.

