Bajeti ijayo kuongeza kivuko kimoja Kigamboni
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Pro. Makame Mbarawa amesema ili kukabiliana na ufujaji wa mapato katika vivuko vya Kigamboni serikali itaanzisha mfumo mpya ya uvushaji wa magari pamoja na ulipaji tiketi.

