Yanga yaanza kuangalia kiwango cha Niyonzima

Kocha msaidizi wa timu ya Yanga Juma Mwambusi amesema, wanaangalia uwezo wa kiungo wa klabu hiyo Haruna Niyonzima ambaye ameanza mazoezi leo kama ataweza kuanza katika mchezo wa kwanza katika michuano ya Kombe la Shirikisho FA Cup.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS