Serikali ya CCM imefeli miradi mingi - Halima Mdee

Mbunge wa jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Halima Mdee amesema serikali ya CCM imekwama katika kutekeleza miradi mingi ya maendeleo kutokana na kutoweka kipaumbele kwa miradi muhimu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS