Mubenga atamani video kubwa zifanyike Bongo

Mubenga

Meneja wa star wa muziki Ommy Dimpoz, Mubenga ameeleza kuwa anatamani uwekezaji mkubwa wa pesa ambazo wasanii wanaufanya katika video nnje ya nchi kwa sasa urejee hapa nyumbani, kukiwa na haja ya mamlaka husika kuweka mazingira mazuri kwa wasanii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS