TFF yampongeza Kikwete kwa kuteuliwa na CAF Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanznaia (TFF), limempongeza Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa kuteuliwa na shirikisho la soka barani Afrika CAF kuwa balozi wa chanjo barani Afrika. Read more about TFF yampongeza Kikwete kwa kuteuliwa na CAF