Anneth kuiinua Stars Band na 'Call Me'

Mwanamuziki wa bendi mpya nchini ya Stars Band, Anneth Kushaba

Mwamuziki wa band Mpya nchini Tanzania ya Stars Band, Anneth Kushaba ametoa wimbo wa Kwanza akiwa ndani ya Band hiyo alioupa Jina la 'Call Me' ambao amesema utakuja kuleta mabadiliko katika medani ya muziki wa Band nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS