Kaya 500 zakosa makazi Mtwara Mikindani
Zaidi ya kaya 500 katika manispaa ya Mtwara Mikindani zimeathirika na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha kuanzia usiku wa juzi kuamkia jana, na kupelekea wananchi wengi wa kaya hizo kupoteza mali zao na vyakula.

