UNICEF yazindua ombi la kudhibiti virusi vya Zika

Msemaji wa UNICEF Geneva, Christophe Boulierac

Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limezindua ombi la dola Milioni Tisa kusaidia kudhibiti kuenea kwa virusi vya Zika hususan Amerika ya kusini ambako virusi vimeenea katika takribani nchi 25.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS