Ni ahadi ya Rais wazee watapata Pensheni: Serikali Serikali imesema inajipanga kuandaa mchakato mzuri utakaotumika katika kutoa pensheni kwa wazee wote hapa nchini ili kuheshimu mchango wao katika kuitumikia jamii. Read more about Ni ahadi ya Rais wazee watapata Pensheni: Serikali