TAMISEMI kuwajengea uwezo wa kufundisha walimu
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), inaendesha mafunzo kwa walimu wa shule za sekondari katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa ajili ya kuwajengea uwezo katika masomo ya Hisabati, Baiolojia, Kiswahili na Kiingereza