Tanzania kuendelea kushirikiana na Rwanda-Majaliwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Rwanda nchini, Eugene Kayihura, ambapo amemuahidi kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Rwanda.