Kombe la FA kesho, Simba SC kukaribishwa Morogoro Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho FA Cup unatarajiwa kuendelea hapo kesho mpaka katikati ya juma lijalo kwa michezo 13 kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini. Read more about Kombe la FA kesho, Simba SC kukaribishwa Morogoro