Dr. Shein kuhutubia wazanzibar
Leo ni sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo wazanzibar wanasheherekea miaka 52 ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964, ambayo yaling’oa utawala wa Sultani kutoka Oman na kuwezesha wazalendo wengi kushika hatamu ya kuongoza nchi.

