Uchaguzi mkuu Zanzibar utarudiwa - Dkt Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein leo amewaongoza Wananchi wa Zanzibar katika sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya huku akiitaka Tume ya Uchaguzi ZEC itangaze tarehe ya uchaguzi.
