FIFA yaipa siku 60 Etoile du sahel kuilipa Simba
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) imeiagiza klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia kuilipa Simba SC ya Tanzania pesa za uhamisho wa mchezaji Emmanuel Okwi ndani ya siku sitini kuanzia Januari 7 mwaka huu

