Messi, Neymar, Ronaldo kuminyana Ballon D'Or leo Nyota mmoja wa soka kati ya watatu wanaosakata kabumbu katika vilabu viwili vya Hispania Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Neymar leo anatarajia kutajwa kuwa mwanasoka bora wa dunia kwa mwaka 2015. Read more about Messi, Neymar, Ronaldo kuminyana Ballon D'Or leo