CWT Mtwara yaendesha mafunzo ya Uongozi
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mkoani Mtwara kimeendesha mafunzo ya siku tatu kwa viongozi wa chama hicho kutoka katika ngazi ya mkoa, wilaya na vitengo vya wanawake, kwa lengo la kuwajengea uwezo juu ya masuala mbalimbali yakiuongozi.