Operesheni wahamiaji kupenya hadi kwa mahausigeli
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesisistiza kuwa operesheni kwa lengo la kuwachukulia hatua raia wa nje wanaofanya kazi nchini bila kufuata sheria za nchi, ni endelevu na itagusa maeneo yote ikiwemo wafanyakazi wa majumbani.

