Simba yavuliwa ubingwa wa Mapinduzi na Mtibwa SIMBA SC imevuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi, baada ya kufungwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa nusu fainali uliofanyika uwanja wa Amaan, Zanzibar jioni ya leo. Read more about Simba yavuliwa ubingwa wa Mapinduzi na Mtibwa