Simba SC yaiwinda Mtibwa Sugar visiwani Zanzibar
Baada ya kutolewa katika michuano ya kombe la Mapinduzi, Kikosi cha timu ya Simba SC kimeendelea kujichimbia visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya muendelezo wa michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara itakayoendelea Januari 16 mwaka huu.

