Watapishaji vyoo kuchukuliwa hatua Arusha
Mkoa wa Arusha umepiga marufuku watu wenye tabia ya kutapisha vyoo kiholela,ikiwa ni sehemu ya kukabiliana ugonjwa wa kipindupindu na kuahidi hatua kali za kisheria dhidi yao, pamoja na wale wanaoishi bila vyoo.