Dirisha Dogo la usajili kufungwa leo usiku Vilabu Shiriki vya Ligi nchini vimetakiwa kuzingatia sheria na kanuni za kuendesha Ligi katika zoezi zima la ufungaji wa Dirisha Dogo la usajili linalotarajiwa kufungwa leo saa sita usiku. Read more about Dirisha Dogo la usajili kufungwa leo usiku