Sina mpango wa kutoa wimbo - Linex

Msanii Linex amesema pamoja na kwamba wasanii wengi wanatoa nyimbo mpya kwa ajili ya kufungia mwaka kama zawadi kwa mashabiki wao, yeye hana mpango wa kufanya hivyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS