Witnesz katika ndoa za utotoni
Nyota wa muziki Witnesz, pembeni ya game yake ya muziki, kama njia mojawapo ya kurudisha fadhila kwa jamii ambayo inajumuisha mashabiki wake, anaendesha mradi wa kupambana na ndoa za utotoni akishirikiana kwa karibu na msanii na mpenzi wake, Ochu.