Mchungaji akamatwa kwa vitendo vya ukatili Singida Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Itaja na mkewe kwa tuhuma za kumfungia ndani ya chumba mtoto wao mlemavu wa viungo kwa miaka 12 bila kutoka nje. Read more about Mchungaji akamatwa kwa vitendo vya ukatili Singida