Poul Nonga afunga dirisha dogo la usajili Yanga SC Klabu ya Yanga imekibomoa kikosi cha Mwadui FC baada ya kumnasa mshambuliaji wake, Paul Nonga katika umaliziaji wa dirisha dogo la usajili lililofungwa hapo jana saa sita usiku. Read more about Poul Nonga afunga dirisha dogo la usajili Yanga SC