Sheria zibadilishwe kukuza michezo - Nape Nnauye Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye amesema, katika ukuzaji wa michezo inatakiwa kuangalia sheria upya ili kuweza kupata wawekezaji pamoja na kuweza kulinda wawekezaji. Read more about Sheria zibadilishwe kukuza michezo - Nape Nnauye