Tutaendeleza operesheni kuimarisha usalama-Kova
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia watuhumiwa 353 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo ujambazi wa kutumia silaha, wizi, Usafarishaji madawa ya kulevya na makosa mengine ya kihalifu.