Butt na Asif wamaliza kifungo cha kriketi
Wachezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Pakistani ya mchezo wa kriketi, Salman Butt na Mohammad Asif wamerejea kwenye mchezo huo, baada ya kumaliza marufuku yao ya kutojishughulisha na mchezo huo kwa miaka 5.