Kesi za Kafulila, Wenje, Lembeli kuunguruma
Kesi zilizofunguliwa katika Mahakama Kuu kanda mbalimbali hapa nchini kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu wa October 25 2015 ,kesi 13 zitaanza kusikilizwa mfulilizo kuanzia tar 22.02.2016 ili kutoa majibu kwa walalamikaji.

