NECTA yakanusha kuzuia matokeo ya kidato cha 4 Baraza la Mitihani la Tanzania NECTA limekanusha taarifa kwamba matokeo ya kidato cha nne yamezuiliwa kutokana na wasahihishaji kukosea wakati wa usahihishaji na wanafunzi kupata matokeo mabaya. Read more about NECTA yakanusha kuzuia matokeo ya kidato cha 4