Tanzania waandaa miongozo kubaini virusi vya Zika

Mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha udhibiti wa magonjwa ya mlipuko kwenye wizara ya afya nchini Tanzania Dkt. Janeth Mghamba

Shirika la afya ulimwenguni WHO na wizara ya afya ya Tanzania wanaandaa miongozo ya kusaidia kubaini iwapo kuna visa vya virusi vya zika nchini humo kama njia ya kudhibiti ugonjwa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS