P Square hati hati kuvunjika.

Pacha wa msanii Peter Okoye Paul Okoye ambaye kwa pamoja wanaunda kundi la P Square, amemjibu ndugu yake Peter kuhusu malalamiko anayoyatoa na kutaka kaka yao mkubwa Jude ambaye pia ni manager wao, kutoka kwenye kundi hilo na kuacha kuwaongoza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS