Wagonjwa wa kipindupindu wasilipishwe faini-Wizara
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ndiyo yenye dhamana ya kusimamia huduma za afya kwa wananchi imesema itaendelea kutoa taarifa za mara kwa mara kwa wananchi kuhusu milipuko ya magonjwa ikiwamo kipindupindu.
