Serikali angalieni upya suala hili - TAFFA
Chama cha Mawakala wa Forodha nchini Tanzania TAFFA, kimeitaka serikali kupitia wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kuingilia kati suala la makampuni 210 ya forodha yaliyozuiwa kufanya kazi katika bandari zote nchini.

