BMT kumtumia waziri mkuu kukuza michezo nchini

Baraza la Michezo nchini BMT limesema litatumia fursa ya kuonana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ambaye pia ni mwanamichezo kwa ajili ya kukuza michezo hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS