Chuchu azungumzia tamthilia mpya ya usaliti
Mmoja wa waandaaji wa tamthilia mpya ya Usaliti Chuchu Hansi ameeleza kuwa tamthilia hiyo itaanza kuruka Jumanne ya leo saa 09:30 usiku kupitia EATV. chuchu amesema tamthilia hiyo itahusu migogoro ya kimapenzi na usaliti.

