Mchezaji Urusi afikisha ujumbe wa kisiasa Uturuki
Mchezaji wa soka wa Urusi Dmitri Tarasov aliwafikishia ujumbe mashabiki wa Uturuki, kwa kuvua jezi yake na kubaki na fulana ya ndani yenye picha ya Rais wa Urusi Vradimir Putin na ujumbe, baada ya mchezo mjini Istanbul.

