Nick Butt kocha mpya Academy' ya Manchester United
Ili kuwa na utamaduni wa kuzalisha vijana wa kizazi kama cha mwaka 1992 kilichowatoa kina David Beckham,Ryan Giggs,Garry Neville, Paul Scholes na wengineo, Manchester United imemtua kiungo wa zamani Nick Butt kuwa kocha wa academy ya klabu hiyo.

