Wakurugenzi wanne wa halmashauri wasimamishwa

George Simbachawene

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa nchini Tanzania TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amewasimamisha kazi wakurugenzi wa Halmashari nne nchini kwa tuhumiwa za kutoa Rushwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS