Serikali kupambana na ajira kwa watoto
Wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto imeanza kutekeleza ufuatiliaji wa sheria zinazomlinda mtoto mdogo kuajiriwa kwani watoto wana fursa ya kupata elimu na kuendelezwa na wazazi pamoja na walezi wao.

