Kama huwezi kufanya kazi na wizara tuachie-Mbarawa
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi prof. Makame Mbarawa amewataka wafanyakazi wote wa wizara yake mkoani Simiyu kuwa waadilifu na atakayeshindwa kufanya hivyo ataoneshwa mlango wa kutokea kwa kupewa kilicho chake ili kupisha wanaohitaji.
